May 29, 2023
MWILI wa MTANZANIA ALIYEFIA VITANI WAONDOKA URUSI, WAZIRI AELEZA - "ALIFUNGWA JELA MIAKA 7"...



MWILI wa MTANZANIA ALIYEFIA VITANI WAONDOKA URUSI, WAZIRI AELEZA – “ALIFUNGWA JELA MIAKA 7″…

Waziri wa Mambo ya Nje wa , Stergomena Tax amesema Mtanzania aliyefariki dunia nchini Urusi, Tarimo alikuwa nchini humo kwa ajili ya masomo na alijiunga na Chuo cha Moscow Technology Pro mwaka 2020 kwa masomo ya shahada ya uzamili katika fani ya Business Informatics.
Waziri huyo amesema taarifa walizozipokea ni kwamba mwezi Machi 2022 Mtanzania huyo alihukumiwa kifungo cha miaka saba gerezani kwa mujibu wa sheria za Urusi kwa vitendo vya uhalifu.

Amesema kwamba akiwa gerezani alipewa nafasi ya kujiunga na kikundi cha kijeshi kilichopo nchini humo kinachofahamika kama Wagner kwa ahadi ya kulipwa fedha lakini pia kwa ahadi ya kuachiwa huru mara baada ya vita na alikubali kujiunga na kikundi hicho hadi alipokutwa na umauti katika ,

Waziri Tax amesema tayari mwili wa Mtanzania huyo umeondoka nchini Urusi kurejeshwa kwa familia kwa ajili ya taratibu za mazishi.

⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE:

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:
⚫️ iOS:

⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST:

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI:
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
⚫️ GLOBAL RADIO TV:
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW:
⚫️ Subscribe Global TV

source

19 thoughts on “MWILI wa MTANZANIA ALIYEFIA VITANI WAONDOKA URUSI, WAZIRI AELEZA – "ALIFUNGWA JELA MIAKA 7"…

  1. Hii tamaa watanzania tunaelekea wapi mbandala yakupingania inch yako unaenda kufa kizembe huyu angezikwa hukohuko nawengine wajifuze ntazania ya amani ndomaana huluka ya utanzania umemulani angetoka huko angeleta machafuko katika inchi ya Aman ewe Allah tunusulu na hawa nye tamaa umeso meshwa kwafedha dha watanzania wazazi leohii malipo kwazanzi maumivu jaman vijana some hiistoria ya inchi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *