June 10, 2023
NCHI 10 zinazo ongoza kuwa na MAJESHI yenye NGUVU Africa 2021"top 10 military powerful countries Afr

14 thoughts on “NCHI 10 zinazo ongoza kuwa na MAJESHI yenye NGUVU Africa 2021"top 10 military powerful countries Afr

  1. Yaani hua sielewi hizo takwimu zenu kuna zingine zinashangaza sana utasikia jeshi la kongo lipo juu kuliko la Tanzania hapo unaweza kushangaa sasa taifa kama kongo wanashindwa kuwaondoa waasi ndani ya nchi yao nchi ya 9 aflica halafu bado mnatwambia ni nchi ya tisa wewe wingi wa wanajeshi sio nguvu nyie tumieni.akili kufikilia

  2. Wewe sio kamanda na hujui mambo ya kijeshi, takwimu zako ni za uongo Congo amekaa halo ila Tanzania haipo, we unadhani Tanzania na Congo nani ana jeshi imara

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *