JARIBIO LA KUMUUA KAPTENI IBRAHIM TRAORÉ WA BURKINA FASO LAGONGA MWAMBA.
Njama ya kumuua kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traoré, imezuiwa, limetangaza taifa hilo la Afrika Magharibi.
Mpango huo ulikuwa umepangwa na Luteni Kanali Paul Henri Damiba, afisa wa kijeshi aliyeondolewa madarakani na Traoré Septemba 2022, amesema waziri wa usalama katika taarifa ya usiku wa manane.
#focusnewstanzaniatv1 #bukinafaso #africa












Alhamdulillah Rabbal 'Alaamiin.