John Heche na Edwin Sifuna ni mapacha wa kisiasa?

John Heche na Edwin Sifuna ni mapacha wa kisiasa?



Kama ni mgeni katika ukanda wa Afrika ya Mashariki basi ninapotaja majina yafuatayo mawili , hautaelewa ni kwa nini yametajwa katika sentensi moja.

John Heche na Edwin Sifuna, wametengwa na mipaka ila kimsingi viongozi hawa waili huenda wakatajwa kama pacha wa siasa za uwajibikaji katika mataifa yao binafsi na vile vile Afrika Mashariki.

Vuta kiti Laillah Mohammed @Leila Mohammed akupe maelezo kisha utafanya uamuzi ikiwa kuna tofauti nyingi kuliko kufanana kati yao.


#bbcswahili #kenya #tanzania

Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili

7 thoughts on “John Heche na Edwin Sifuna ni mapacha wa kisiasa?

  1. Hvi ni vichwa viwili tofauti lkn wenyeuwezo mkubwa wa kuleta mabadiliko makubwa hapa Afrika mashariki, wanao Ugopwa na WATAWALA DHALIMU KATKA MATAIFA HAYA MAWILI.!! EE MOLA UWALINDI DHIDI YA WATALA DAHALIMU!

  2. Heche ni Moto wa kuotea mbali, achana na Heche!!! Heche akielezelezea Kwa huzuni nyingi iliyo ujaa moyo wake kuhusiana na Tanganyika inavyotafunwa kama huna moyo mgumu lazima utokwe machozi!!! Ebu msikilize vizuri kwenye KIBWAGIZO chake cha "KAMA UKITUWEKA GEREZANI NA UKITUUA HATA MAWE…..!!! HAPO MIMI NATOKWA MACHOZI NALIZWA NA MANENO YAKE HECHE !!!

  3. Heche [TZ] na Sifuna [KE]; wanaudhubutu wa kujieleza kwa kukosoa mamlaka zilipo mbele yao bila kupepesa macho wala kuogopa. Wanauwezo wa kuita kijiko; kijiko wala sio 'kijiko-kikubwa' au beleshi!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *