Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso ilisema imezuia “njama kubwa” ya kumpindua kiongozi wa utawala wa kijeshi, Kapteni Ibrahim Traoré, ambapo inadai kuwa wapanga njama hao walikuwa wakifanya kazi kutoka nchi jirani ya Ivory Coast na kuongozwa na wanajeshi wa sasa na wa zamani wa Burkinafaso waliokuwa wakishirikiana na viongozi wa makundi ya kigaidi.
Ahmed Bahajj anaelezea
🎥: @brianmala
#bbcswahili #BurkinaFaso #ibrahimtraore
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili










Atadumu
mungu amsaidie sana
Tunampenda saana na tunamuombea saana wabaya wake wote wakutane na adhabu kutoka mbinguni
Kwa uwezo wa Allah atadumu tena sana
I give great support traore
Itachukua muda sana ,hao mahafidhina kazi wanayo
Atadumu kwa Damu ya yesu kristor Amen
Lipo njiani hiro maqna waafrica wanatumiaka na wazungu kusaliti nchi
Hakuna anae weza huyon jembe
Mungu ata mulinda
Na unaongea kwa bashasha kama unatangaza mbira(wanafki bbc)
Mwenyezmungu ndio mwenye kuijua siri hio pia yy ni mwanadamu yupo na baadhi ya mapungufu yake pia kuna mwisho wa uhai wake lkn pia Mwenyezmungu amuweke sana sana aisaidie nchi yake
Ata dumu kwa nguvu za MUNGU ukisha pendwa na watu wako na MUNGU razima awake ulinzi ❤❤❤❤❤❤
Mungu alie mlinda Ibrahim ndo anamlinda piah captain wetu simba wa Africa
Atakwenda na maji
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
ufaransa hao.shenzi kabisa
Traore❤❤
Muongo huyuu
ALLAH amuhifadhi
Kwa uwezo wa allah atadum
Nyinyi hapo bbc ndo mnataka kumpinduwa
Acheni mambo yenu BBC mie nikiwa kiongozi sitaruhusu redio zozote vyombo vya habari kurusha matagazo muhimu ya nchi
Mtangazaji mzuri sana. Sasa pengo la Salim kikeke linapata successor
Afrika inaitaji ukombozi wa fikra 😢😢😢😢
Atadumu we are ready to fight for Traore
Huyu ni mwamba😊🎉🎉🎉 wa Afrika
Wanajulika wazee wakupindua
Mungu amlinde mtumishi huyu.. Shida ni kupenda PESA , PESA, PESA!
May God protect Ibrahim Traore
Nampenda sana traore
Mungu awe na Ibrahim Traore.
Ma generali hao😅😅😅
France iko zaidi complice, inashikiana na wezi wa rwanda kwa kuiba mali ya Congo,Burkinafaso hizo pesa za damu yao iwekwe kwa kuijenga inchi, na visanduku vitano hivi walio vtuma kwa mapinduzi wa wekwe korokoroni na wataje nani aliwatuma ispokua France…
Mbowe alikuwa anatupindua kisiasa, tunashinda lenyewe linapokea mapesa ushindi unapinduliwa na ccm kwahiyo hata huyo ni ngumu mno kudumu hapo
Afrika tabu ipo pale pale