Posted in African News Joho warns Riggy G 😱 #foreveryone #duet #riggyg #africannews #fypyoutube #news #ruto #rutonews afrakan July 4, 2025 7 Comments Related Articles Investigating Trump’s claims that White South African farmers are victims of genocide Nathi Mthethwa l Mthethwa’s family to take remains home “Not Words, Actions: 5 Major Projects Under Ibrahim Traore #ibrahimtraore The Strange Forces Protecting Burkina President Ibrahim Traoré
Viongozi mwajishau mukiona pesa. Hivi Joho unadhani wapwani lbado tuko wajinga sana, ongea ujifurahishe lakini ujue masikini mupwani nisawa na masikini mukikuyu. Reply
Kipii
Mdomo unaomwingi sana
Sudi wa ODM😂
Anaongea ujinga tu, he thinks akishiba, wakenya wote wameshiba? Amekuwa akidanganya Raila ivo
Ukishiba wewe unadhani wapwani wote hawana shida. Sio wakikuyu ni wakenya wote wanalalamika.
Viongozi mwajishau mukiona pesa. Hivi Joho unadhani wapwani lbado tuko wajinga sana, ongea ujifurahishe lakini ujue masikini mupwani nisawa na masikini mukikuyu.
Mdomo tupu