#congo #rdc #cobalt #gold #lithium #china
Rais wa DRC Félix Tshisekedi anashiriki Mkutano wa kwanza wa mawaziri kuhusu madini muhimu, unaoongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio, ambao ulifanyika Jumatano ya Februari 4, 2026, huko Washington, D.C.
Mkutano huo unalenga kuimarisha na kupanua minyororo ya usambazaji wa kimataifa ili kupunguza utawala wa China katika sekta hii ya Madini.
Haya yakijiri namna hiyo rais Tshisekedi alitumia fursa hiyo kwa kukutana na baadhi ya maseneta wanaofuatilia suala la utekjelezwaji wa mkataba wa amani uliotiwa saini desemba 04 mwaka Jana.











Laissez le Congo aux congolais point!
Huyu mjinga anajipeleka kwenye mdomo wa mamba fara kweli