Je IbrahimTraoré wa Burkina Faso alitaka kupinduliwa?

Je  IbrahimTraoré wa Burkina Faso alitaka kupinduliwa?



Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso ilisema imezuia “njama kubwa” ya kumpindua kiongozi wa utawala wa kijeshi, Kapteni Ibrahim Traoré, ambapo inadai kuwa wapanga njama hao walikuwa wakifanya kazi kutoka nchi jirani ya Ivory Coast na kuongozwa na wanajeshi wa sasa na wa zamani wa Burkinafaso waliokuwa wakishirikiana na viongozi wa makundi ya kigaidi.

Ahmed Bahajj anaelezea

🎥: @brianmala

#bbcswahili #BurkinaFaso #ibrahimtraore

Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili

36 thoughts on “Je IbrahimTraoré wa Burkina Faso alitaka kupinduliwa?

  1. Mwenyezmungu ndio mwenye kuijua siri hio pia yy ni mwanadamu yupo na baadhi ya mapungufu yake pia kuna mwisho wa uhai wake lkn pia Mwenyezmungu amuweke sana sana aisaidie nchi yake

  2. France iko zaidi complice, inashikiana na wezi wa rwanda kwa kuiba mali ya Congo,Burkinafaso hizo pesa za damu yao iwekwe kwa kuijenga inchi, na visanduku vitano hivi walio vtuma kwa mapinduzi wa wekwe korokoroni na wataje nani aliwatuma ispokua France…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *