MWAMBA IBRAHIM TRAORE KUKIMBIZA BURKINA FASO HADI 2029 – YAJAYO YANAFURAHISHA ZAIDI…
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI:
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
⚫️ GLOBAL RADIO TV:
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW:
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE:
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:
⚫️ iOS:












SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 https://bit.ly/3MraYdQ
Hata atawale maisha yote huyu ndo raisi PEKEE Africa mwenye kujua majukumu yake wengine hamna lolote
Wewe mdada umeolewa?
Je suis un jeune révolutionnaire congolais je m’aurais arrivé jusqu’à lui
Erimu ya muda mufupi sio tanzania
Mm ni mtanzania, naomba mungu wa Burkina Faso anajulikana Kama Ibrahim Traole atawale mpaka mwenyezi mungu atakapoamua yy kumupumuzisha.
Ila bc lakini natamani Sana Kama Ibrahim Traole angekuwa mtanzania tungefurahi Sana.
Yaani hii imezihilisha kabisa kwamba tunaviongozi wezi wa Mali ya Wana nchi.
Nchi yetu Haina hata magaidi ya kufanya viongizi wetu washindwe kuleta maendeleo,tunaendelea kuwa masikini Kila kukicha,je magaidi yangekuwa tungekuwaje.
Kweli