Inasemekana alikuwa mnyenyekevu lakini mwerevu shuleni, Kapteni Ibrahim Traoré wa Burkina Faso ni afisa wa jeshi ambaye alichukua madaraka kwa mapinduzi katika moja ya makoloni ya zamani ya Ufaransa huko Afrika Magharibi mwaka 2022.
–
Alimpindua aliyekuwa mshirika wake, Luteni Kanali Paul-Henri Damiba, baada ya kumtuhumu kwa kushindwa kutimiza ahadi yake ya kukomesha uasi wa Waislamu ambao umekikumba Burkina Faso tangu 2015.
–
Amekuwa akifanya mabadiliko nchini humo na wananchi wakionesha kumkubali. Je ni mabadiliko gani?
–
Lizy Masinga anaelezea
–
–
–
#bbcswahili #burkinafaso #IbrahimTraore #mapinduzi #uongozi #Damiba
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili












Siyo bfaso Sema African
Namkubali sana huyu mwamba
Yaani natamani angekuwa rais wetu Zanzibar❤
Huyo ndie ana sifa ya mitano tena❤
Huyu kijana ataleta Muamko mpya kwa Africa
Mungu amjaalie maisha marefu
Maoni yangu ni kwamba wewe ume jaribu ku sema ukweli ku husu Ibrahim Traoré na hofiya wewe ku fukuzwa kazi na bbc kwa sababu ya ku sema ukweli be careful 😂😂😂
Namfahamu lbrahim Traole Yuko Sawa Ikiwezeka Nikapata Nafasi ya Kuonana Nae Nita Msaport Kwa Ushujaa Wake . MWENYEZI MUNGU Ibariki Africa.
❤❤❤Mungu amulinde
Nimempenda na Tanzania nchi ingechukuliwa na Jeshi kubgekuwa na adabu maana Vijana wanahangaika Ajira pamoja na kuwa na madigrii na maphd vichwani Wanahangaika
Magufuli mdogo
Huyu ni mwamba magufuli wa 2 tunamuombea mungu asimame na aongezewe miaka 30 yakuongoza mana alitangaza wanachuo kulipwa wafungwa kupunguziwa kifungo kwa kufanya kazi yakulima je mnaona huyu ana utani ? Amepewa mwaliko na marekan akakataa wakat wa uhapisho wa tramp mana anajua madhara yakwenda uko ataenda kupandishwa lory na pamoja mana Africa hatudhaminiwi ata tone huyu ni mwamba aaaaaa
Ni mwamba Mungu atamie Kwa mbawa zake
Uyo nimwamba mungu akulinde na azidi kumuongeza myaka yakuishi maisha marefu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mwamba wa africa Ibrahim traoree
Abarikiwe sana tena
Heko mwana dada kwa kutu shawishi kumtambua huyu shujaa wa Africa. Nina ku unga mkono. Yeye ni miujiza.
Safi
Huyu jamaa ni mfano wa magufuli
Tuna mkubali mnoo aje tu awe rais wa Tz mataila watoke
Traole ni mzalendo na nchi yake anaipigania sana ili wajikomboe na kua tegemezi tunaweza mfananisha na Hayati muamar Gadaffi na magufuli yaani wanatumia rasilimali za nchi kwa ajili ya wananchi hongera sana shujaa wetu.
Jasili na mthubutu
Na Mimi namkubari uyo
Hata mimi ninamtambua kama shujaa
Allah akuhifadhi Aamin yaa Rabbi
We salut Ibrahim traure know one like Ibrahim traure
Traore ni kiongozi wa afrika nzima bila upendoleo,,(Mungu amulinde
Allah amhifadhi
Tunaeza pata kama huyo hapa Kenya
tuna muombetu mungu amulinde mana ana uchungu na afirika mm ni mutanzania ila nimekubali
Mungu amlinde mwamba wetu wa Africa afrika inakuhitaji sana
Safi
Afu tuna samia anakopa kila asubh
Mimi kama 🇹🇿 halisi nakukubalii kuliko Raisi wa Inchi yangu wewee ni mzalendo wa Africa mungu akupe maisha malefu 🎉🎉🎉
Wajifunze na nchi zingine za Africa,,kwani hakuna maoni ya waafrica wote tupige kura kumpigia kura Rais anaefanya vizuri na kukubaliwa zaidi hata nje ya mipaka yake ,Basi baada ya kura hizo akionekana wengi wanamkubali basi iwekwe SHERIA ,WOTE BARANI AFRICA TUNAFUATA NYAYO ZAKE,,kwasababu ukisema kila mmoja ajiendee vile nikiongozi kwa nchi yake ,HAWABADILIKI,maana hata Waafrica Wengine WANAMPINGA HUYU MWAMBA.
Tuna mtambua ni mfano wa kuigwa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Isingekuwa rahic kumponda kwa sasa ikiwa Africa nzima inampenda ila tunajua Baadae mtatuletea na habari za kumchafua pia. DON'T TRUST BBC ANYMORE
BBC imejaribu kukosea angalau kumwongelea kwa uzuri mzalendo wetu wa Africa
Hakika ni mkomboz mungu amlinde