Vita vya mbolea ‘kuheshimu miungu’

Vita vya mbolea ‘kuheshimu miungu’



Je, umewahi kusikia kuhusu vita vya samadi/mbolea ya ng’ombe?

Waumini wa Kihindu katika kijiji cha Gummatapura, India, Wanaamini, “mungu wao yumo ndani ya samadi.” Na kuwa samadi ya ng’ombe ina nguvu za kuponya magonjwa na huwaletea baraka.

Hivyo wao huandaa tamasha la vita vya samadi kila mwaka wakisherehekea mwisho wa sikukuu ya Diwali, Sherehe hii ya kipekee inayofahamika kama Gorehabba, huandaliwa kumheshimu ‘mungu’ wao aitwaye Beereshwara
@mrs.tadicha


#bbcswahili #india #imani

Share:

19 thoughts on “Vita vya mbolea ‘kuheshimu miungu’

  1. Wadudu wanaosababisha ugonjwa wa Tetenus hupatikana katika kinyesi cha ng'ombe na wanyama wengine.. Hivo inahitajika umakini namna ya matumizi ya samadi kuepuka ugonjwa huo

  2. Pamoja na kutumika kama samadi, ikikauka inachomwa mashambani kufukuzia wanyama waharibifu pia kama mbadala wa kuni kuchomea viazi huku wazee wakipigia vijana soga mbalimnali.

Leave a Reply to @RonnieBertin Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *