Je, umewahi kusikia kuhusu vita vya samadi/mbolea ya ng’ombe?
Waumini wa Kihindu katika kijiji cha Gummatapura, India, Wanaamini, “mungu wao yumo ndani ya samadi.” Na kuwa samadi ya ng’ombe ina nguvu za kuponya magonjwa na huwaletea baraka.
Hivyo wao huandaa tamasha la vita vya samadi kila mwaka wakisherehekea mwisho wa sikukuu ya Diwali, Sherehe hii ya kipekee inayofahamika kama Gorehabba, huandaliwa kumheshimu ‘mungu’ wao aitwaye Beereshwara
@mrs.tadicha
–
–
#bbcswahili #india #imani












Sema wage yala 😊
Duh!
Nashukuru kuwa Muslim
Wadudu wanaosababisha ugonjwa wa Tetenus hupatikana katika kinyesi cha ng'ombe na wanyama wengine.. Hivo inahitajika umakini namna ya matumizi ya samadi kuepuka ugonjwa huo
Hakuna watu wapumbavu dunian kuwashinda wahindi mabaniani
Wahindi nyie
Wahindi ujinga sana.. alhamdulilla alah islam
Tunatumia kupanda mahindi nk kama mbolea
Samadi natumia kwenye bustani ya nyumbani
Jesus is coming
This is hour to embrace the Gospel of Repentance
Alhamdulilah neema ya kuwa muislam….❤❤❤
Ni tamaduni zao
Asante Mungu kuzaliwa kwenye kizazi cha waislaam Tunao uku Wahindi baniani nyama ya Gombe habadan awali wapumbavu kweli Hawa na wachafu balaa
Pamoja na kutumika kama samadi, ikikauka inachomwa mashambani kufukuzia wanyama waharibifu pia kama mbadala wa kuni kuchomea viazi huku wazee wakipigia vijana soga mbalimnali.
Wahindi vituko kila mara mawe mara mavi
Yaaan hawa wapo mbali saaaaana na allah 😢😢😢
Namshukuru Mungu kuzaliwa Mkristo
Sie tunatumia km mbolea kwenye mazao
😂😂😂😂😂
الحمد لله على نعمة الاسلام ❤