Ibrahim Traoré Atavuka Salama Katika Safari ya Kujitegemea?

Ibrahim Traoré Atavuka Salama Katika Safari ya Kujitegemea?



Sasa, unawezakuwa wa kwanza kufuatilia makala zinazopandishwa youtube mapema kabisa kwenye Audiomack kwa kubofya hapa

37 thoughts on “Ibrahim Traoré Atavuka Salama Katika Safari ya Kujitegemea?

  1. Wanao itaji tuunde groupe ya WhatsApp a zoom ili tuanzishe uharakati wa kuungana kwa africa gonga like na acha number nikweke kwenye group ya africa united empire panel

  2. Kazi kubwa manayo nyie watangazaji ya kusema kutoa taarifa kwaniaba yetu zungukeni mitaani mtoe maoni yetu achenini kbisa kutangaza habari za wasaani hawa wajinga wanaocheza uchi wekeni kila siku mtangaze mambo ya wazelendo wetu vibaraka kama wakina mabutu acheni habari za wazungu waonesheni kuwa hatuwajitaji tena wameshatutesa sana kwa uwongo wao

  3. Mkifanya hivyo mtasaidia sana vita hivi vya kujikomboa tuwasaidie Viongozi wetu wenye nia yalikomba bara letu inauma sana kuona tulivyo na malighafi nyingi hivyo sisi niwakuteseka hivyo huku tukidharauliwa kufa na njaa maradhi umaskini marais wapo tuna chonganishwa tunauwana kwafaida yao dini zina tumika serekali zetu zinatumika kuumiza watu wao ambao wanngekomboa nchi zetu tusiwape tena nafasi wanahabari njooni tutoe maoni yetu

  4. Nimesubiri sana likin haijachelewa sana lakin kazi safi nakubali sana io huyu jamaa ni simba wa Afrika yetu allah amlinde naomba utuaandalie stori kamili ya huyu mwamba ndkubali sana

Leave a Reply to @Sambrain03 Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *