Wanao itaji tuunde groupe ya WhatsApp a zoom ili tuanzishe uharakati wa kuungana kwa africa gonga like na acha number nikweke kwenye group ya africa united empire panel
Kazi kubwa manayo nyie watangazaji ya kusema kutoa taarifa kwaniaba yetu zungukeni mitaani mtoe maoni yetu achenini kbisa kutangaza habari za wasaani hawa wajinga wanaocheza uchi wekeni kila siku mtangaze mambo ya wazelendo wetu vibaraka kama wakina mabutu acheni habari za wazungu waonesheni kuwa hatuwajitaji tena wameshatutesa sana kwa uwongo wao
Mkifanya hivyo mtasaidia sana vita hivi vya kujikomboa tuwasaidie Viongozi wetu wenye nia yalikomba bara letu inauma sana kuona tulivyo na malighafi nyingi hivyo sisi niwakuteseka hivyo huku tukidharauliwa kufa na njaa maradhi umaskini marais wapo tuna chonganishwa tunauwana kwafaida yao dini zina tumika serekali zetu zinatumika kuumiza watu wao ambao wanngekomboa nchi zetu tusiwape tena nafasi wanahabari njooni tutoe maoni yetu
Nimesubiri sana likin haijachelewa sana lakin kazi safi nakubali sana io huyu jamaa ni simba wa Afrika yetu allah amlinde naomba utuaandalie stori kamili ya huyu mwamba ndkubali sana
Kazi njema aisei , Pongezi zako mkuu🙏
❤❤❤
Kapteni Ibrahim Traore ni alama ya matumaini kwa waafrika tunaotaka uhuru wa kweli wa kiuchumi kwa kila hatua Mungu asimame naye.
Ww n nomaa!!
Naomba namba yako kaka, mungu awabariki sana kwa kazi yako
Namba ya WatsApp,
Namba ya WatsApp,
Na sisi Mozambique tunao Venâncio Modlane, amefanya makubwa. Naomba umsemee
MUNGU amulinde Simba uyu wetu 🇨🇩🇨🇩 mabeberu wakome kabisa izo ibwa
Mungu Amfanyie wepesi na amfanikishie kila hitaji la moyo wake yaa Rabbi🤲🏽🤲🏽🤲🏽🇧🇫🇧🇫🇧🇫🇧🇫❣️🕊️
Ananias natamani kukuona face to face ❤
Kama tumeshajua adui yetu ni mzungu na marekani kwa nini tusiungane tukawa kitu kimoja ili tuwashinde hao watu
Kujiunga na AU hakuna kitu hapo. AU ni chombo cha mabeberu. Kazi yao kutimiza agenda za kibeberu tu!
Igualmente 🎉🎉
Safi sana kuhusu Denge ya Putin tunataka usem kitu kuhusu maajabu yandege kama ire Asante mkuu🙏🙏🙏🙏🙏💗💗💗💗🇧🇮❤️
Wanao itaji tuunde groupe ya WhatsApp a zoom ili tuanzishe uharakati wa kuungana kwa africa gonga like na acha number nikweke kwenye group ya africa united empire panel
Ili afike mbali awe na wenzake kama watano hiv walio sehemu moja. Angalau wako watatu
Wa afrika tupo tayali kumuunga mkono
Baba mpakaze kwasasa Uyo ndio baba yetu Sisiwote wa africa altraore baba mungu aendelehe kumpa uwezi❤
Baba traore namoenda sana ndio kiongozi wetu pendwa uyo❤
Mumgu atamulinda sana
Mwenyezi mungu anaweza atamulinda tu insha allah❤
Kazi kubwa manayo nyie watangazaji ya kusema kutoa taarifa kwaniaba yetu zungukeni mitaani mtoe maoni yetu achenini kbisa kutangaza habari za wasaani hawa wajinga wanaocheza uchi wekeni kila siku mtangaze mambo ya wazelendo wetu vibaraka kama wakina mabutu acheni habari za wazungu waonesheni kuwa hatuwajitaji tena wameshatutesa sana kwa uwongo wao
Mkifanya hivyo mtasaidia sana vita hivi vya kujikomboa tuwasaidie Viongozi wetu wenye nia yalikomba bara letu inauma sana kuona tulivyo na malighafi nyingi hivyo sisi niwakuteseka hivyo huku tukidharauliwa kufa na njaa maradhi umaskini marais wapo tuna chonganishwa tunauwana kwafaida yao dini zina tumika serekali zetu zinatumika kuumiza watu wao ambao wanngekomboa nchi zetu tusiwape tena nafasi wanahabari njooni tutoe maoni yetu
Chambuzi Yako hii Ina madudu…..ECOWAS😂
Viongozi wa africa ni vibaraka
Ninakukubar cana mwana
HAKUNA MATATA AFRICA NIYETU LAZIMA TRAORÉ ASHINDE
I real love these man God bless Ibrahim Traore as you fight for Africa
Kama africa tutashindwa kumlinda huyu jamaa basi turudi katika kutawaliwa tena tu
Allah amlinde Ibrahim traore
♥️🤲🇧🇫🇧🇫🇰🇪🇰🇪🇷🇺🇷🇺
mungu na miugu watamulida
Ananias Edgar Kazi nzuri kaka🎉
Nimesubiri sana likin haijachelewa sana lakin kazi safi nakubali sana io huyu jamaa ni simba wa Afrika yetu allah amlinde naomba utuaandalie stori kamili ya huyu mwamba ndkubali sana
🌹🌹 unafaa kuwa mshauri mkuu wa serikali
Unafaa kuwa mshauri mkuu wa serikali 🌹🌹🙏🙏
Unafaa kuwa mshauri mkuu wa serikali 🌹🌹🙏🙏