Rais wa Burkina Faso, ‘Captain’ Ibrahim Traore ni miongoni mwa Marais wa Afrika waliohudhuria kwenye maadhimisho ya siku ya ushindi (Victory Day) Mei 9, 2025 ambapo ameonekana akiwa karibu na rafiki yake Rais wa Urusi, Vladimir Putin.
Baadae viongozi hao wakiongozwa na Putin walionekana wakiweka maua kwenye eneo linalowaka moto ikiwa ni ishara ya kukumbuka damu iliyomwagika wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia (WWII).
Siku ya Ushindi huadhimishwa Mei 9 kila mwaka nchini Urusi, ikiwa ni kumbukumbu ya ushindi wa mwaka 1945 katika Vita Kuu ya Pili ya Dunia, ambapo majeshi ya Umoja wa Kisovieti yalifanikiwa kuishinda Ujerumani ya Adolf Hitler.












Safi sana
Bi tozo na muuza bandari mbona haonekani?
Yaani mi naangalia hadi nataka kudondosha chozi, ukiniuliza mimi sijui ni kwanini naipenda sana hii nchi ya Urusi.
Dah… Napenda na sisi kiongozi wetu awepo tupate kujifunza ya ujamaa ili tujitegemee, simnaona ya bukina❤❤❤
Sisi viongozi wetu wapo bize na chadema sio nchi
Russia ndio nchi pekee inayopenda kuona ukoloni unakwisha kwenye nnchi zakiafrica, wazungu wa ulaya ya kati na Marekani wamesha tutumia sana sasa ifike mwisho wa Africa tuungane tutumie rasilimali zetu kwa manufaa ya wazawa na sio kuwawapa waarabu na wazungu sisi tuendelee kuteseka vizazi na vizazi
mbona sijamuona kiduku❤
Kwa mara ya kwanza namuona traore hajabeba bundukii yakee hapoo nijinsi gani anamuamini putini kuliko wenginee
Marais wà africa embu waone e wivu
Huo ni ujinga moto wa milele ni wa Allah peke yake na digree zenu zote mnadanganywa
Aaah, jamaa yuko very unique, tofauti kabisa kimuonekano na Head of States wenzake
Jamaa mweusi yuko mkono wa kulia ni nani?
Rais anaenda mwenyewe kueleza dunia ije Burkinafaso kuwekeza,,
Sisis huku TZ SAMIA anajibembeleza mama wa watu huko kwa wazungu wanakubali kuja, majitu aliyo yaamini yanaweka mbinu za kupiga dealz halafu wananchi waseme SAMIA NDO hana akili… Jaman!!!!!
Putin lafiki yake mkubwa sana huyo mchina
Putini bega kwa bega na ibrahim troule siyo wale wajomba wa magharibi walitupandisha basi
Kama namuona raisi wa Zimbabwe sijui macho yangu au laa
God bless Traole against enemies 🙏
Raisi putini mungu azidi kumlinda na kila Shari pamoja na ibrahim traore umeona alivyokuwa bega kwa bega na Raisi watu ibrahim traore siyo kama wale wajomba walitupakia kwenye basi la abiria na hawakutaka hata tugusanenao hata mikono
Da! Huyu mwamba wa urusi mungu amlinde,atatusaidia sana waafrika
Traore Mungu ampe afya zaidi hao ndo watu wa kushirikiana nao ,, wanachua na wanakubeba vilivyo
No suit ni hatari
Kisha Mandela,sijahona rais Mwengine mwenye kupewa heshima na wazungu kama traore africa
Hapa ni gwanda za jeshi kwa kwenda mbele na siyo suti za gharama. Yeye ni mjeshi na daima ni gwanda tu hata wakati wa kuoga. Hiyo nimeongezea tu ya wakai wa kuoga.
Bravo
Mungu ambariki uyo kijana raisi. Dwaore baada ya hapo aete Iran . Mimi Niko kenya
marais wa africa wengi hakili finyu sana
ALL EYEZ ON TRAORE😂
Raisi wa dunia puti
Love the trampet song waaoh❤
Traore anafanya tufuatilie na gwalide la mrusi ni jambo zuri
Ila sijamuona Kiduku na Raisi wa Iran 🇮🇷
Congo kwa putin
Congo kwa Putiin
Hivi kile kidude kipo kwenye kifua cha putin kinamaamisha nini wadau
Putin pekee ndo tunae wa afrika🎉
All de best our king 👑 traore
Amazing
Буркина-Фасо респект от русских
Почему прощание славянки звук выключен?
👍🙏🙏🙏👏👏♥️♥️♥️🇭🇹
👍🏻🇷🇺🇧🇫👍🏻🇷🇺🇧🇫👍🏻🇷🇺🇧🇫👍🏻💢💥💯🥂🍾☘❤
🎉ll
PUTIN Zindabad
Alie muona ibrahim, kuhehm wimbo wa urus na kupiga saluot
Urusi hatari kwa ulinzi heshima kwenu endeleeni kumsaidia Rais wa Bukina Faso